Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 15 days ago

Atupwa jela miaka miwili na nusu kwa kujifanya daktari wa upasuaji.

Maxmillian Martin alifikishwa Mahakamani hapo kwa makosa matano likiwemo la kufoji cheti cha shahada ya kwanza ya udaktari kutoka chuo kikuu cha Dar Es Salaam, cheti cha mafunzo kwa vitendo cha hospitali ya rufaa ya Muhimbili na cheti chama cha madaktari Tanganyika Medical Council.


Latest News
Hashtags:   

Atupwa

 | 

miaka

 | 

miwili

 | 

kujifanya

 | 

daktari

 | 

upasuaji

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources