Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 20 days ago

Miili ya waliopoteza maisha Handeni yaanza kutambuliwa na ndugu.

Miili ya watu waliopoteza maisha kutokana na ajali iliyotokea huko wilayani Handeni mkoani Tanga kutokana na gari walio kuwa wakisafiria kutumbukia kwenye daraja lililokatika kutokana na mvua tayari imeanza kutambuliwa na ndugu zao katika hospitalini ya wilaya ya Handeni ilipohifadhiwa miili hiyo.


Latest News
Hashtags:   

Miili

 | 

waliopoteza

 | 

maisha

 | 

Handeni

 | 

yaanza

 | 

kutambuliwa

 | 

ndugu

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources