Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 21 days ago

Kimbunga chajeruhi wanne na kuezua nyumba arobaini Geita.

Watu wanne wakiwemo watoto watatu  wamenusurika kifo kwa kujeruhiwa maeneo mbalimbali  baada ya kuporomokewa na kuta za nyumba  mkoani Geita  baada ya upepo mkali ukiambatana mvua kubwa kuezua nyumba zaidi ya arobaini yakiwemo makanisa matatu na kuacha mamia ya watu bila makazi


Latest News
Hashtags:   

Kimbunga

 | 

chajeruhi

 | 

wanne

 | 

kuezua

 | 

nyumba

 | 

arobaini

 | 

Geita

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources