Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 22 days ago

NOAH yatumbukia kwenye daraja yaua 10 wa familia moja Handeni, Tanga.

Watu hao waliofariki dunia ni pamoja na akina mama wanne wanaume watatu na watoto wawili, huku Mkuu wa wilaya ya Handeni Godwin Gondwe ambae akisema kutokana na tukio hilo wamefunga barabara hiyo kwa muda hadi daraja hilo litakapojengwa.


Latest News
Hashtags:   

yatumbukia

 | 

kwenye

 | 

daraja

 | 

familia

 | 

Handeni

 | 

Tanga

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources