Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

Naibu waziri wa maji aagiza mkandarasi kampuni ya Vibe akamatwe

Naibu waziri wa maji, Mhe.Jumaa Aweso amemuagiza mkuu wa wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma,Bi. Sophia Kizigo kuhakikisha anamkamata na kumchukulia hatua mkandarasi kutoka kampuni ya Vibe International Co. Ltd kutokana na kushindwa kutekeleza mradi wa maji wa Kumbara-Litola wilayani namtumbo kwa muda wa miaka nane sasa licha ya serikali kumlipa zaidi ya bilioni 1.9.


Latest News
Hashtags:   

Naibu

 | 

waziri

 | 

aagiza

 | 

mkandarasi

 | 

kampuni

 | 

akamatwe

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources