Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

Mwanamke akanyagwa na tembo Kilimanjaro,avunjwa miguu na mikono.

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanamke mmoja aliyefahamika kwa majina ya Majabu Lemahuna mkazi wa tarafa ya Mkongea kijiji cha Ngulu kata ya kwakoa wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro amenusurika kifo baada ya kujeruhiwa kwa kukanyagwa na tembo kwenye maeneo mbalimbali ya mwili wake.


Latest News
Hashtags:   

Mwanamke

 | 

akanyagwa

 | 

tembo

 | 

Kilimanjaro

 | 

avunjwa

 | 

miguu

 | 

mikono

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources