Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

Sir Ferguson alivyochangia ushindi wa  Newcastle dhidi ya Manchester.

Kocha wa klabu ya Newcastle United Steve Bruce ameweka wazi kuwa alipokea ushauri kutoka kwa kocha wa zamani wa klabu ya Manchester  United Sir Alex Ferguson kabla ya kuingia uwanjani kuvaana na Manchester United na kupata ushindi wake wa kwanza dhidi ya timu hiyo katika maisha yake ya ukocha.


Latest News
Hashtags:   

Ferguson

 | 

alivyochangia

 | 

ushindi

 | 

 Newcastle

 | 

dhidi

 | 

Manchester

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources