Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 1 month ago

Wachimbaji wadogo wa madini kunufaika na leseni 12,000 zilizofutwa

Serikali imefuta na kuziondoa kwenye mfumo zaidi ya leseni 12,000 kati ya leseni 33,000 zilizotolewa kwa wachimbaji wa madini ya aina mbalimbali yanayopatikana hapa nchini walioshindwa kuziendeleza na hivyo itazigawa upya kwa wachimbaji wadogo wadogo ambao tayari wameishaonyesha nia ya dhati ya kujihusisha na shughuli hiyo.


Latest News
Hashtags:   

Wachimbaji

 | 

wadogo

 | 

madini

 | 

kunufaika

 | 

leseni

 | 

zilizofutwa

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources