Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Rais Magufuli aguswa na vifo vya wachimbaji 2 wa madini.

Amewataka wanafamilia wawe watulivu wakati Serikali inafanya juhudi za kuwaokoa, rambirambi hizo zimetolewa kwa niaba ya Rais na Waziri wa Madini, Mhe.Doto Biteko alipotembelea mgodi huo kujionea shghuli za uokoaji zinavyoendelea kwa siku ya tatu sasa.


Latest News
Hashtags:   

Magufuli

 | 

aguswa

 | 

wachimbaji

 | 

madini

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources