Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Ngorongoro Heroes yaelekea Jinja kwa mchezo wa fainali

Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 Ngorongoro Heroes imeondoka katika mji wa Gulu huko nchini Uganda na kuelekea mjini Jinja ambapo mchezo wa fainali ya michuano ya CECAFA U20 utakaowakutanisha Ngorongoro Heroes dhidi ya Kenya siku ya jumamosi utachezwa.


Latest News
Hashtags:   

Ngorongoro

 | 

Heroes

 | 

yaelekea

 | 

Jinja

 | 

mchezo

 | 

fainali

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources