Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

TEMESA kutumia bilioni 10 kujenga vivuko vitatu ziwa Victoria

Serikali kupitia wakala wa ufundi na umeme ( TEMESA) imeanza kutekeleza miradi ya ujenzi wa vivuko vitatu vitakavyotoa huduma za usafiri wa abiria na mizigo kati ya Kayenze- Bezi wilayani Ilemela, Bugorola - Ukara wilayani Ukerewe pamoja na kivuko cha Chato - Nkome mkoani Geita vyenye thamani ya shilingi bilioni 10.


Latest News
Hashtags:   

TEMESA

 | 

kutumia

 | 

bilioni

 | 

kujenga

 | 

vivuko

 | 

vitatu

 | 

Victoria

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources