Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Makontena 17 ya vifaa vya Meli yaanza kuwasili Mwanza

Makontena 17 ya vifaa vya ujenzi wa meli kubwa ya kisasa itakayotoa huduma kwa abiria 1200 na mizigo tani 400 katika ziwa Victoria kati ya miji ya Mwanza na Bukoba yameanza kuwasili katika eneo la bandari ya Mwanza kusini yakitokea Korea ya Kusini kupitia bandari ya Dar es Salaam.


Latest News
Hashtags:   

Makontena

 | 

vifaa

 | 

yaanza

 | 

kuwasili

 | 

Mwanza

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources