Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Waziri wa madini awashukia wamiliki wa viwanda vya kuchenjua dhahabu.

Waziri wa madini Dotto Biteko ametoa onyo kwa wamiliki wa viwanda vya kuchenjulia madini ya dhahabu maarufu kama Elution Plant mkoani Shinyanga kuacha tabia ya wizi unaoendelea kwa kuficha udongo unaodhaniwa kuwa una dhahabu katika mashimo ya majitaka ambapo amebainisha kuwa lengo lao ni kuwaibia wachimbaji wadogo na kukwepa kodi ya serikali.


Latest News
Hashtags:   

Waziri

 | 

madini

 | 

awashukia

 | 

wamiliki

 | 

viwanda

 | 

kuchenjua

 | 

dhahabu

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources