Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Rais Dkt.Magufuli afanya uteuzi wa Wakurugenzi wa halmashauri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 01 Oktoba, 2019 amefanya uteuzi na kuwahamisha vituo vya kazi Wakurugenzi wa Halmashauri za Manispaa na Wilaya, na pia amefanya uteuzi wa Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mkuu wa Itifaki (Chief of
Protocal).


Latest News
Hashtags:   

Magufuli

 | 

afanya

 | 

uteuzi

 | 

Wakurugenzi

 | 

halmashauri

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources