Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Serikali yaruhusu uchimbaji madini mto Muhuwesi

Wizara ya madini pamoja na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, imekubali ombi la wananchi wa Muhuwesi na kuruhusu uchimbaji wa madini aina ya vito katika mto Muhuwesi uendelee baada ya kumaliza mgogoro uliokuwepo kati ya serikali na wachimbaji wazawa wa madini hayo kutoka Rubby international.  


Latest News
Hashtags:   

Serikali

 | 

yaruhusu

 | 

uchimbaji

 | 

madini

 | 

Muhuwesi

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources