Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Waziri Mhe.Ummy Mwalimu ahimiza uchangiaji damu zaidi.

Waziri afya maendeleo ya jamii, jinsia wazee na watoto Mhe.Ummy Mwalimu ameagiza mpango wa taifa damu salama kuweka utaratibu wa vitambulisho kwa wachangiaji wa damu wa mara kwa mara ili kuwapa kipaumbele pindi wanapokuwa na uhitaji wa damu huku akiwasihi watu kujenga utamaduni wa kuchangia damu na kutokuwa waoga katika kupimwa maradhi.


Latest News
Hashtags:   

Waziri

 | 

Mwalimu

 | 

ahimiza

 | 

uchangiaji

 | 

zaidi

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources