Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Wananchi waiomba serikali kuruhusu uchimbaji madini mto Muhuwesi

Wananchi wa kata ya Muhuwesi katika wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma, wameiomba serikali kuruhusu uchimbaji wa madini katika eneo la mto Muhuwesi ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali za kijamii na kukuza uchumi wao kupitia madini yanayopatikana katika mto huo.


Latest News
Hashtags:   

Wananchi

 | 

waiomba

 | 

serikali

 | 

kuruhusu

 | 

uchimbaji

 | 

madini

 | 

Muhuwesi

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources