Sunday 17 November 2019
Home      All news      Contact us      English
itv - 2 month ago

Viongozi wa serikali waonywa kutowabughudhi wachimbaji wa madini

Waziri wa madini Mhe.Dotto Biteko amewaonya watendaji mbalimbali wa serikali wakiwemo wa sekta ya madini kuacha tabia ya kuwabughudhi na kuwakamata bila sababu za msingi wachimbaji wa madini ili kuendelea kuwavutia zaidi kupelekea kuuza madini yao katika masoko ya madini yaliyoanzishwa na serikali badala ya wao kuwa chanzo cha utoroshwaji wa madini hayo.


Latest News
Hashtags:   

Viongozi

 | 

serikali

 | 

waonywa

 | 

kutowabughudhi

 | 

wachimbaji

 | 

madini

 | 
Most Popular (6 hours)

Most Popular (24 hours)

Most Popular (a week)

Sources