Sunday 2 November 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 9 month ago

MARUFUKU UKAMATWAJI MIFUGO ISIYOTAMBULIWA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji, amepiga marufuku ukamatwaji wa mifugo ambayo haitakuwa imefanyiwa utambuzi na kuwataka watalaam wa sekta ya Mifugo kutoa elimu kuhusu umuhimu wa zoezi hilo huku akitoa rai kwa wafugaji kutumia fursa iliyotolewa na Serikali kutambua mifugo yao.


Latest News
Hashtags:   

MARUFUKU

 | 

UKAMATWAJI

 | 

MIFUGO

 | 

ISIYOTAMBULIWA

 | 

Sources