MICHEZO: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe Prof. Palamagamba John Kabudi, amesema Tanzania ipo tayari kwa ajili ya uwenyeji wa mashindano ya CHAN yanayotarajiwa kuanza tarehe 1 hadi 28 Februari 2025 kwa kuwa maandalizi yake yamefikia 99% hadi sasa.
Sunday 2 November 2025
⁞
