Naibu Waziri wa Nishati, Mh. Judith Kapinga, amesema Tanzania itaendelea kushirikiana na Saudi Arabia, katika kuimarisha Sekta ya Nishati hususan katika Mafuta na Gesi, Nishati Safi ya Kupikia na Nishati Jadidifu...........
Sunday 2 November 2025
⁞
