Sunday 2 November 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 11 month ago

TANZANIA, BURUNDI KUIMARISHA MPAKA WA KIMATAIFA

#HABARI: Tanzania na Burundi zimetiliana saini ya makubaliano ya uimarishaji mpaka wa Kimataifa baina ya nchi hizo. Makubaliano hayo yamefikiwa mara baada ya kukamilika kwa Kikao cha Kamati ya Pamoja cha Wataalamu (JTC) kati ya Tanzania na Burundi kilichofanyia kwa siku tano mkoani Kigoma.


Latest News
Hashtags:   

TANZANIA

 | 

BURUNDI

 | 

KUIMARISHA

 | 

MPAKA

 | 

KIMATAIFA

 | 

Sources