Sunday 2 November 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 12 month ago

AGIZO LA BASHUNGWA KUFUNGA MIZANI TUNDUMA LATEKELEZWA

Wakala ya Barabara (TANROADS) imefunga mizani inayohamishika (mobile weighbridge) ya kudhibiti uzito wa magari katika eneo la Tunduma kwa ajili ya kupima magari yanayotoka Tunduma kuelekea Dar es Salaam ili kupunguza msongamano wa malori yanayosubiri kwa muda mrefu kupima uzito katika mzani mmoja wa Mpemba unaotoa huduma mpakani mwa Tanzania na Zambia.


Latest News
Hashtags:   

AGIZO

 | 

BASHUNGWA

 | 

KUFUNGA

 | 

MIZANI

 | 

TUNDUMA

 | 

LATEKELEZWA

 | 

Sources