Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema CCM inaingia kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, kikiwa na imani kubwa ya Watanzania kutokana na uimara wa chama na uongozi wa Mwenyekiti wake, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan..........
Sunday 2 November 2025
⁞
