#HABARI: Uingereza imetangaza kuanza kutoa kidonge maalumu kijulikanacho kama Varenicline kwa wavutaji sigara nchini humo, ambao wako tayari kuacha kuvuta sigara.
Kidonge hicho cha Varenicline ambacho kimetajwa kuwa mbadala kwa wavutaji sigara wenye nia ya kuachana kabisa na matumizi ya sigara, kinasemekana kupunguza tamaa na athari za nikotini ambazo huwafanya watu kuwa warahibu.
Sunday 2 November 2025
⁞
