Shirika la Umeme nchini Tanzania (TANESCO) limetangaza kumalizika kwa mkataba wa miaka 20 wa kununua umeme kutoka Songas, kampuni inayozalisha umeme kwa njia ya gesi asilia. Hii ni hatua ya kihistoria kwa Tanzania, kwani nchi yetu inachukua hatua zaidi za kuhakikisha kujitegemea katika nishati.
Sunday 2 November 2025
⁞
