Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa hajaridhishwa na usimamizi na kasi ya ujenzi wa wa barabara ya Nyamwage - Utete (km 33.7) kwa kiwango cha lami na kumuagiza Meneja wa Wakala ya Barabara (TANROADS) Mkoa wa Pwani, Eng. Baraka Mwambage kumsimamia Mkandarasi China Railway Seventh Group (CRSG) akamilishe kuleta Wataalam pamoja na Mitambo itakayomwezesha kutekeleza mradi kwa wakati na kwa mujibu wa mkataba.
Sunday 2 November 2025
⁞
