HAZINA YA JOTOARDHI BADO HAIJATUMIKA IPASAVYO AFRIKA MATARAGIO
Jotoardhi ikiendelezwa ipasavyo Barani Afrika, itaweza kutumika kwa namna mbalimbali ikiwemo kuzalisha umeme, pamoja na matumizi mengine ya moja kwa moja kwenye Sekta ya Kilimo na Ufugaji.