Wananchi Visiwani Zanzibar wamejitokeza kwa wingi kupata huduma ya matibabu kwenye kambi ya Hospitali ya Benjamin Mkapa (BMH), chini ya Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Shirika la SOTAC, katika Hospitali ya Mwera Pongwe, Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini, Unguja.
Sunday 2 November 2025
⁞
