Waziri wa Ujenzi, Mhe.Innocent Bashungwa, amekagua na kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi), lenye urefu wa Kilometa tatu linalojengwa kuunganisha barabara kuu ya Usagara - Sengerema - Geita katika Ziwa Victoria, ambapo ameeleza bado sehemu ya Mita mbili ili daraja lote liweze kuunganishwa.
Sunday 2 November 2025
⁞
