Sunday 2 November 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 1 years ago

SHEMDOE APOKEA MAKASHA 70 YA KUHIFADHIA SAMAKI

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe, amepokea jumla ya makasha 70 ya kuhifadhia samaki kwa niaba ya wanawake wajasiriamali, waliopo kwenye mialo ya Kibirizi na Katonga mkoani Kigoma, yaliyotolewa na mawakala wa usafiri wa anga wa Alliance na Swissport, kwenye Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar-Es-Salaam.


Latest News
Hashtags:   

SHEMDOE

 | 

APOKEA

 | 

MAKASHA

 | 

KUHIFADHIA

 | 

SAMAKI

 | 

Sources