Sunday 2 November 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 1 years ago

MRADI WA SAMIA ARUSHA AFCON CITY WAKAGULIWA

Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhandisi Anthony Sanga, amesema eneo la Mradi wa Samia Arusha AFCON City (SAAC), lenye ukubwa wa ekari 4,555.5, lilipo Kata ya Olmot na Olasiti katika Jiji la Arusha, lililopakana na miradi miwili ya viwanja vitakavyotumika kwenye mashindano ya Afcon 2027


Latest News
Hashtags:   

MRADI

 | 

SAMIA

 | 

ARUSHA

 | 

AFCON

 | 

WAKAGULIWA

 | 

Sources