Naibu Kamishna wa Polisi Kutoka kitengo cha udhibiti Makosa yanayovuka Mipaka DCP Daniel Nyambabe, amewakabidhi askari wa kike Bendera ya Taifa kwa ajili ya Kwenda nchini Marekani kushiriki mafunzo kwa askari wa kike Duniani katika jimbo la Chicago Nchini humo kuanzia Septemba 01 hadi 05, Mwaka huu.
Sunday 2 November 2025
⁞
