Moja ya maagizo ya Serikali kuelekea katika safari matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia nchini ni taasisi zikiwemo shule kuachana na matumizi ya nishati zisizo safi na salama kama kuni na mkaa wa asili na kuanza kutumia nishati safi ya kupikia ikiwemo gesi.
Sunday 2 November 2025
⁞
