Wizara ya Afya kupitia kitengo cha Elimu ya Afya kwa kushirikiana na Wakala wa Mabasi yaendayo haraka (DART), imetoa elimu juu ya ugonjwa wa Mpox kwa wananchi na abiria kituo cha mabasi hayo kilichopo Mbezi Dar Es Salaam.
Sunday 2 November 2025
⁞
