AINA 5 MBEGU ZA MALISHO KUSAIDIA UPATIKANAJ MALISHO YA MIFUGO NCHINI.
Taasisi ya Utafiti wa Mifugo Tanzania (TALIRI) imefanikiwa kukamilisha utafiti na usajili wa aina tano za mbegu za malisho ya mifugo zitakazosaidia kurahisisha upatikanaji wa malisho ya mifugo.........