Sunday 2 November 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 1 years ago

TANZANIA NI SALAMA, HAKUNA MGONJWA WA MPOX

Wizara ya Afya imesema kuwa mpaka sasa Tanzania ni salama, na hakuna mtu yoyote aliyepatikana na ugonjwa wa Mpox (awali ulijulikana kama Homa ya Nyani) na bado ugonjwa huo haujaingia nchini .


Latest News
Hashtags:   

TANZANIA

 | 

SALAMA

 | 

HAKUNA

 | 

MGONJWA

 | 

Sources