Rais wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema serikali itaendelea kutoa vibali vya ajira kwa kila mwaka katika Sekta ya Afya, ili kupunguza changamoto ya uhaba wa watumishi kutokana na maendeleo katika sekta hiyo.
Sunday 2 November 2025
⁞
