Mtume na Nabii Boniface Mwamposa (Buldoza) wa Kanisa la Arise and Shine, (Inuka Uangaze) ametembelea Kampuni ya IPP Media na Kupokelewa na Mwenyeji wake, Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio, Joyce Mhaville, ambapo amepongeza shughuli zinazofanywa na vituo hivi za kuhabarisha umma huku akikoshwa na uwekezaji mkubwa uliopo.
Sunday 2 November 2025
⁞
