Chama cha Democratic nchini Marekani, kimeanza mbio za kuteua atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwenye uchaguzi wa mwezi Novemba, baada ya Rais Joe Biden kujiondoa kwenye kinyang anyiro hicho jana Jumapili, na kumpendekeza makamu wake Kamala Harris kupambana na Donald Trump wa Republican.
Sunday 2 November 2025
⁞
