Sunday 2 November 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 1 years ago

CHANGAMOTO ZA WAKULIMA, KUTATULIWA NANENANE 2024.

Kuelekea Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo, Uvuvi na Ufugaji (NaneNane 2024), yanayotarajiwa kufanyika katika viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma kuanzia Agosti 01 hadi 08, 2024, Mratibu Mkuu wa Kituo cha Huduma kwa Wateja cha Wizara ya Kilimo,Bw. Zacharia Gadiye ambaye  amewakaribisha wadau mbalimbali kwenye maonesho hayo.


Latest News
Hashtags:   

CHANGAMOTO

 | 

WAKULIMA

 | 

KUTATULIWA

 | 

NANENANE

 | 

Sources