Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump, amewasili Milwaukee kwa ajili ya kushiriki katika Kongamano la Kitaifa la Republican, ambapo anatarajiwa kupokea uteuzi rasmi wa chama hicho kwa kinyang anyiro cha urais wa 2024 pamoja na kumtangaza mgombea mwenza.
Sunday 2 November 2025
⁞
