Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, imetoa wito kwa wananchi na wapiga kura wa mkoa wa Tabora, kujitokeza kwa wingi kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura unaotarajiwa kufanyika kwenye mikoa hiyo kuanzia Julai 20 hadi 26, mwaka 2024.
Sunday 2 November 2025
⁞
