Rais wa Marekani Joe Biden, ameweka wazi kuwa bado ataendelea kusalia kwenye kinyang anyiro cha uchaguzi wa Novemba mwaka huu, huku akisisitiza kuwa yeye ndiye mteule wa Chama cha Democratic, na hakuna mtu wa kumuondoa wala haondoki.
Sunday 2 November 2025
⁞
