Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.Dkt.Doto Biteko, amesema serikali itaendelea kusimamia na kukuza uadilifu wa maadili kama msingi wa maendeleo endelevu kupitia Sera na Sheria bora kwa kushirikisha wadau wa kidini, elimu, na jamii ili kuendeleza utamaduni ambapo maadili yatajumuishwa katika kila sehemu ya maisha ya Watanzania.
Sunday 2 November 2025
itv - 1 years ago
SERIKALI ITAENDELEA KUSIMAMIA, KUKUZA UADILIFU WA MAADILI - DKT.BITEKO
⁞
