KONDO LA NYUMA WANAOJIFUNGUA KUZALISHA GESI YA KUPIKIA
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma imepongezwa kwa ubunifu wa kutumia kondo la nyuma la akinamama waliojifungua kuzalisha gesi kwa ajili ya kupikia na matumizi mengine hospitalini..............