Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali itajenga kituo cha kupokea na kupoza umeme eneo la Dumila, Kilosa, Mhe. Kapinga amesema Serikali kupitia TANESCO itatekeleza mradi wa ujenzi wa njia ya kusafirisha Umeme wa msongo wa kilovoti 220...............
Sunday 2 November 2025
⁞
