Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetaka watendaji wakati wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga Kura Mkoani Kigoma kuhakikisha wanatunza vifaa vya uandikishaji ili vikaweze kutumika maeneo mengine nchini.
Sunday 2 November 2025
⁞
