Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Maabara ya Veterinari Tanzania (TVLA), Dkt. Stella Bitanyi, amesema serikali imeanza kufanya kazi kwa karibu na vyama vya mifugo nchini kupitia vikao mbalimbali ili kuhakikisha usalama na ubora wa vyakula vya mifugo.
Sunday 2 November 2025
⁞
