Sunday 2 November 2025
Home      All news      Contact us      RSS      English
itv - 1 years ago

MRADI WA JULIUS NYERERE WAKAMILISHA MTAMBO NAMBA NANE.

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema tayari mtambo namba nane kutoka kwenye Mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere umekamilika na sasa unaingiza megawati 235 kwenye gridi ya taifa.


Latest News
Hashtags:   

MRADI

 | 

JULIUS

 | 

NYERERE

 | 

WAKAMILISHA

 | 

MTAMBO

 | 

NAMBA

 | 

Sources